Dr Jeremiahs
Member
- Sep 4, 2020
- 39
- 304
Salute jf members.
Ni bahati mbaya sana hamna Chuo wala Shule kinachofundisha elimu ya mahusiano kwa sehemu kubwa tunajifunza kutokana na makosa yetu au ya watu wengine.
Moja kwa moja kwenye point.
Katika ulimwengu wa mapenzi, mwanamke na mwanaume wanatofautiana sana linapokuja suala la “THAMANI” kichanga tunaita “VALUE/WORTH”
Kama tunavyojua Thamani ya mtu ndio inamaamua apewe meza ya kawaida au VIP, Thamani ya mtu ndio inaamua ule paja la kuku au mguu. N.k Bila shaka tuko pamoja katika hilo.
TIME IS CRUEL TO WOMEN.
Kutokana na Nature ilivyo, Thamani Ya mwanamke kwenye mahusiano ya kimapenzi huwa inapanda kwa kasi sana pale Tu anapovunja ungo, na huanza kushuka Taratibu kuanzia pale anapoteza Bikra na kuendelea. Mheshimu sana mwanamke atakayekupenda katika hatua hii, maana amewakataa wengi akakuchagua wewe.
Katika hatua hii, Tabia ndio itaamua aendelee kukaa katika kiwango hicho cha Thamani au lah, na hapa ndio wanawake wengi huwa nafanya makosa. Kitendo cha kutongozwa na idadi kubwa ya wanaume kinampumbaza kuna kuona kwamba anaweza kuolewa na mwanaume yeyote. Hiki ndio kipindi pekee Mwanamke huwa anataka mwanaume mwenye Pesa, hawa wengine labda awe na personalities/Appearance inayomvutia.
HII INAKUFUNZA NINI KAMA MWANAMKE?
Dear Ladies, kama uko kipindi hiki basi jitahidi sana ujitunze SANA SANA SANA, hata kama utateleza basi isiwe ndio tabia, maana kadri unavyoshiriki mapenzi na wanawaume tofauti ndivyo Thamani yako inavyoshuka. Hakikisha idadi yako ya wanaume uliofanya nao mapenzi ni zero au iwe inahesabika. Sio unakuta mwanamke idadi ya Ex haihesabiki. Trust me kuna point itafika hamna mwanaume atakuwa na habari na wewe. Hata akitokea basi atakuwa wa thamani sawa na wewe.
Kuna msemo niliona mahali unasema “MWANAMKE ANAWEZA KULALA NA MWANAUME YEYOTE ANAYEMTAKA, NA MWANAUME ATALALA NA YEYOTE ATAKAYEMPATA, ILA MWISHO WA SIKU MWANAMKE ATAOLEWA NA YEYOTE ATAKAYEMPATA NA MWANAUME ATAOA MWANAMKE ANAYEMTAKA” Bind this in Mind.
Na kama Elimu imekuja too late, then jijenge kitabia, tena jijenge haswa. Halafu tafuta pesa, maana ndio njia pekee iliyobaki kuongeza thamani yako. Kuna wanaume wanatafuta BIKRA, alafu kuna wanaume wanatafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha hiyo bikra ni majaaliwa, mwanamke atakeyeweza kubeba majumu yake katika ndoa. Mwanamke atakayeitunza heshima ya mwanaume katika hali yoyote.
NATURE IS CRUEL TO MEN
Ni bahati mbaya kwa mwanaume sababu yeye Thamani yake inapanda kadri mda unavyozidi kwenda. Hii ina maana kwamba kuanzia pale anabalehe thamani yake huwa ni ndogo sana. Na kuanza kuongezeka Taratibu sana kadri mda unavyozidi kwenda. Ingawaje, sio naturally kama ilivyo kwa mwanamke. Yeye Thamani yake huanza kukua kuanzia pale anapoanza kujijenga na kujiimarisha kiuchumi.
Ukiachilia mbali Personality, Peromance na Apperance kitu kikuu kinachompa mwanaume THAMANI katika mahusiani ni uwezo wake wa kiuchumi. Nje ya hapo utaona mahusiano shubiri na utahisi huna bahati.
HII CONCEPT INAKUFUNZA NINI KAMA MWANAUME.
Kabla hujaandisha mahusiano hakikisha AFYA YA UCHUMI WAKO, MWILI NA KIALI viko sawa. Kama haviko sawa then jijenge kwanza ili usijesumbua washauri wa ndoa au mahakama kwa migogoro isiyoisha. Katika kitabu cha AWAKENING, Mark Nepo anasema “Flowers don’t chase the bees, it blossoms and the bees come” akimaanisha maua hayafukuzii nyuki, bali yanachanua na nyuki wanakuja wenyewe.
Tatizo la wengi ni kuwa Umaskini umewabadili fikra kiasi kwamba wanaamini mwanamke anayeomba pesa anatamaa na hafai maana anaweza rubuniwa na mwanaume yeyote mwenye pesa. Na yule asiomba pesa anafaa sababu hana Tamaa. Binafsi naona ni kheri huyu anayekuomba pesa sababu yule REAL, haigizi wala hana unafiki, kwamba unaishi nae ukijua kabisa, Ogopa sana huyu asiyekuomba pesa lakini akipewa na wengine anapokea.
Niamini mimi, Yule mwanaume anayeleta kiroba cha unga nyumbani ana thamani Zaidi na anaheshimika kuliko yule anayeleta maua.
Mwanamke anafurahia SMS nzuri ya Mapenzi lakini Furaha yake haizidi SMS ya muamala uliotuma mda mfupi baada ya kukuomba.
Hakikisha unaweza wa kukidhi haja za Mpenzi wako, hasa za kiuchumi na kihisia.
sababu utaishia kumkamata Mpenzi wako na kesi za kuchet. Ni kheri akucheat ukiwa na pesa sababu utajua moja kwa moja huyu ni either tamaa au Tabia zako mwenyewe. Kuliko akucheat ukiwa huna hela maana wengine huwa wanacheat sababu ya njaa.