Natoa mikopo ya dharura kuanzia Tshs laki 5

Itabidi utafute na mabauncer wa kuvunja wadaiwa sugu miguu,pia usisahau mwanasheria uwe nae kwa ajili ya dharura.

Kwa ufupi biashara za loanshark kwa nchi kama hii,haiwezmake,
utamharasi mtu atakupeleka polisi na utakula mvua tu,

hapa sio marekani kwamba,mtu anajulikana ni mafia lakini kwakuwa hamna ushahidi hawana la kumfanya mpaka wawe na ushahidi wa hakika ndo wakuweke ndani
hahaaaa kiongozi naona unapenda movie kama ninazopenda, goodfellas, casino, the sopranos n.k
 
Hongera kuwajali wanaopenda kujiongeza kwa mkopo,binafsi nitakopa kati ya 9 wa mwanzo,nipo arusha
 
Utapata hasara kubwa ambayo utajutia maisha yako yote, nilijaribu mke wangu alijaribu na kuna rafiki yangu kapoteza 40m . Mambo haya ni magum kwasababu ni biashara illegal vijana wakikuingiza mjin huna pa kuwapeleka utabakia mikwala tu na mwisho utakaa kimya. Mwisho wa siku we ndio utaonekana tapeli.

Duc in Altum
Yaani hata mimi nilijaribu kilichonipata sitasahau kamwe
 
Back
Top Bottom