Natarajia kutua Mbeya saa nane za usiku je ni Pub gani inakesha?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
10,381
18,030
Ukiondoa city pub na mbeya pazuri Ni club gani inakesha had alfajiri ili niweze kukwepa gharama za lodge ,

Nimefikiriaa hapa nikienda kuchukua lodg nitaambiwa nilale mwisho saa nne Kisha naondolewa na kutakiwa kulipia upya

Sasa nikaona the best ideal of all ni kwenda kukesha pub huku nikipiga gambe Hadi alfajiri Kisha niende kuchukuwa chumba cha kupumzika.

Hadi ijumaa saa nne asbh nimalize Mambo yangu Kisha niondoke

Plz assit me Kama unapafahamu Mbeya vizuri

Noted
sitaki kuonana na mtu yoyote yule
 
Back
Top Bottom