Sisi Watanzani ni waoga sana. Inafahamika kuwa ni jukumu la serikali kujua mstakabali wa vijana na kama imeshindwa suwala zima la kujua ustawi wetu na haisemi ni wajibu wetu kuingia barabarani wajiuzuru.
Haiwezeknani ajira hakuna, hata za ualimu au udaktari na zikitilewa ni kujuana kwa kwenda mbele. Isitoshe biashara nazo zimekiwa ngumu sana.
Sector binafsi kama humjui mtu hupati ajira kabisa. Wapo radhi waajiri mtu dhaifu hajui kitu wala hana vyeti ili mradi ana ndugu kwenye kampuni husika.
Mfano katika kada ya uandishi au utangazaji wa habari, ni kujuana kwa kwenda mbele na hili limethibitishwa na Baruani Muhuza leo. Kwamba mnaanza kumuajiri mtu hana vyeti wala elimu yoyote atajiendeleza humohumo akiwa na ajira. Azam wamemuajiri Salama Ngale hana hata Diploma wala cheti, ndio anasoma sasa hivi wakati tayari kaajiriwa.
Kuna akina Masanaja, Zembwela, Oscar wote wote ni zero brains lakini wamekula shavu.
Tukutane kesho plz.