Nataka niwe mke wa pili

Wewe utakuwa huna hamu ya kufanya tendo. Huo umri unapata mwenza wako ambaye hajaoa, kwanini unataka uwe wa pili??? Au mahubiri yamekuingia sana kwamba umeamua kujishusha ili Mungu akuinue?
1. Umetoa ujauzito mara ngapi?
2. Umekuwa na boyfrinds wangapi?
3. Umetumia kitanzi/dawa za kuzuia mimba mara ngapi?
4. Je una matatizo mengine yeyote ya kiafya ama mengineyo?

5. Sifa za mtu anayetaka/anayelazimika kuwa mke wa pili wa mtu ni;
a) Yule ambaye ana umri kuanzia 30 na kuendelea
b) Ambaye mwenzi wake amefariki dunia
c) Dada ambaye bahati nzuri/mbaya hakupata mtu wa kumuoa Ktk umri wake wa kuchipua
d) Ni yule ambaye anapenda kuwa hivyo kwa ridhaa yake mwenyewe
e) Na mengine ya kifamilia
f) Ni vile wanaume wenye sifa za kuoa wanapokuwa wachache na hawapatikani

Sasa wewe kwanini unataka ndoa ya namna hiyo?... Ueleze Umma wa Watanzania

Na sifa za umtakaye uziseme hapa ukiorodhesha zote kwa mapana yake.
Sina tatizo lolote la kiafya, mi ni binti kama mabinti wengine. Ila mi nataka kuwa na mwanaume alieoa, yaani aliewahi kuwa na mke wakaishi kama mke na Mme. Kama mkewe bado yupo ni sawa haina shida na kama katangulia mbele ya haki pia sio mbaya! Lakini mwanaume aliewahi kuoa ndio nataka anioe, sitaki mtu fresh!.
 
Elimu za kiutu uzima twafundishwa kuheshimu mawazo ya kila mtu. Natambua una hisia zako na siwezi sema any -ve point. Nikuombee umpate mume WAKO mwenyewe PEKE YAKO, kwani umesema wewe ni Mkristo nadhan unaelewa Ukristo unasemaje kwa hbr ya ndoa! Mume mmoja dhidi ya mke mmoja. Ushauri wa ziada, tulia na mwombe MUNGU atakupa sawa na haja ya moyo wako. Elewa penzi haligawanyiki, epuka uke wenza, na kwanza umepungukiwa nn hadi ukate tamaa kihivyo? Ukiwa na swali niulize.
 
Sijakata tamaa dear, mi bado ni binti, ninamaisha yange independent. Ila naona Mme alie oa tayari ananifaa sana kuliko ambae hajawahi kuoa!
 
Still hata kwa hilo HAKUNA haja ya ww kuishi kwa kupangiana zamu, vp aende lala kwingine nawe waelewa eti leo atafanya nn nyumba ile, loooh haifai katu. Solution jipende mwenyewe, jiheshimu na jibidishe, mume atoke wapi ni suala la MUNGU. Na iwapo unamwanini MUNGU basi achana na wazo la uwe mke mdogo somewhere.
 
Ni kweli, ila kuhusu kupangiwa zamu kwangu sio tatizo kabisa. Mi sina wivu hata tukikaa nyumba moja sio kitu kabisa! Mi najua mwenyewe kwa nini nitake kuolewa na mwanaume alieoa. Na naahidi kutimiza majukumu yangu kama mke bila kiburi wala hasira !
 
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
Dini yako hairuhusu kuolewa mke wa pili, Jee wataka kuolewa na muislam?
 
Ni kweli, ila kuhusu kupangiwa zamu kwangu sio tatizo kabisa. Mi sina wivu hata tukikaa nyumba moja sio kitu kabisa! Mi najua mwenyewe kwa nini nitake kuolewa na mwanaume alieoa. Na naahidi kutimiza majukumu yangu kama mke bila kiburi wala hasira !
nataka uwe mpenz wangu wa pili thn nikitaka kuoa ntawaoa kwa zam ww utakuwa wa pili
 
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
Mbona dini yako hairuhusu ndoa ya wake wengi; umeamua kuachana na ukristo?
 
Sina tatizo lolote la kiafya, mi ni binti kama mabinti wengine. Ila mi nataka kuwa na mwanaume alieoa, yaani aliewahi kuwa na mke wakaishi kama mke na Mme. Kama mkewe bado yupo ni sawa haina shida na kama katangulia mbele ya haki pia sio mbaya! Lakini mwanaume aliewahi kuoa ndio nataka anioe, sitaki mtu fresh!.
Nimekuelewa.....kila laheri
 
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
upo wapi ? mimi nipo dar umri 41 nina watoto 2. Nimwajiriwa na nimejiajiri part time pia. Naishi Kibamba.
 
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
ok kama upo serious ni fuate PM
 
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
nina mke sina mtoto kama upo tayari njoo PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom