Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Akili yako unaijua wewe mwenyewe.
Itaje kwa jina hiyo degree yako.Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Siamini kama soko lako limeshuka kiasi hiki khaa? Kweli jpm katunhonyoa manyoya wengi aiseeHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
wakristo mnaruhusiwa mitala kwani?Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Ndio nakwambia sasa, wapo vijana wengi tu wa form 4 wamewaoa na ndoa zao zipo vizuri tu. Wasiwasi wako tu wa kuwaogopa; pichu hainaga degree kaka.Tatizo ushaanza na neno kulishwa, ukumbuke humuoi aje umlishe tuu,. Na kwa kigezo hicho kwa anaejua kuwaoa hao imekua ni kujipalilia makaa. Watakuigizia mpaka basi
hongera kwa kujitambuaHabari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.
Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
Tayari wameanza kumuelewa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema.... Wamehangaika sana bt wanarudi pale pale Na ndio ukweli huo wanaume wanahitaji mke zaidi ya mmoja kutokana na ratio Mola aliyoiweka mwenyew... Alilijua hili mapema ila wanadam sisi tunajifanya wajuajiNiliwahi kusoma article moja mtandaoni kutoka Essence, mdada mmoja aliandika sheria ya mume mmoja mke mmoja kwa watu weusi Marekani iondolewe.
Sababu za kutaka sheria hiyo iondolewe ni kuruhusu wanaume weusi wenye uwezo wa kuoa waoe hata wake wanne au zaidi kama wana uwezo wakufanya hivyo ili kukabiliana na uhaba mkubwa wa wanaume weusi wenye hadhi ya kuoa. Alidai wanaume wengi weusi ama wako jela au hawana hadhi ya kuitwa mume (wa hovyo hovyo). Na kwa kuwa wengi wangependa waolewe na weusi wenzao basi hii sheria iondolewe.
Kilichonishangaza ni wanawake wengi kumuunga mkono mtoa hoja pia kulikuwa na wanaume waliounga mkono.
Naona si muda mrefu tutaanza kuona matangazo kama haya, "Natafuta mume hata kama yuko kwenye ndoa hakuna tatizo ali mradi tu ana asilimia kubwa ya vigezo husika."
Binadamu hatufanani hata kidogo aisee, kuna vitu watu huwa wanavitaka ukiambiwa unaweza kushangaa ila ndo hivyo.mtu anaanzaje kufikiria kuwa mke wa pili kama amepata wake mwenyewe? ukiona hivyo ujue kakosa wake mwenyewe na anatamani apate hata wa mtu hiyo inaitwa tutabanana hapahapa.
Mkuu mada hainihusu mimi.Mkuu kwani dini yako inaruhusu?