Mlalahoi Mlalahai JF-Expert Member Jul 20, 2015 399 146 Mar 10, 2016 #1 Habari wataalamu, nimescan vyeti na CV yangu, bahati mbaya kila nikiattach ili nifanye application naambiwa mafile yangu makubwa, nawezaji kuyapunguza? Kuna app yoyote ya kuweza kupunguza au nifanye nini ili niyapunguze? Msaada tafadhali
Habari wataalamu, nimescan vyeti na CV yangu, bahati mbaya kila nikiattach ili nifanye application naambiwa mafile yangu makubwa, nawezaji kuyapunguza? Kuna app yoyote ya kuweza kupunguza au nifanye nini ili niyapunguze? Msaada tafadhali
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Mar 10, 2016 #3 Compress PDF – Reduce your PDF Online for Free
the great wizard JF-Expert Member Dec 21, 2015 1,482 887 Mar 11, 2016 #4 Compress PDF – Reduce your PDF Online for Free