Huyo kweli mwenzake kaaahMwenzako jana kasema amepata divis 1:3 form six anataka kusomea U_ Professor
Hii kitu tz inaruhusiwaBe a PI!!!
We jamaa ni noma ,hapo umemaliza kila kituukienda ccp ukitoka utaishia kuinda benki,watu wangu wanakufa kwa kukosa maarifa ,kuna provate firm kibao za mambo ya kipelelezi kama vipi fungua yako au omba ajira huko,kwa msaada mtafute IGP mtaafu maundi pale clocktower ana kampuni ya dizaini hiyo,angalizo we waweza kuta hauna element za mpelelezi bali mbea
Wadau,
Mimi nimesomea fani ya ICT na nimeajiriwa lakini nina element za upelelezi na ufuatiliaji tangu ukuaji wangu. Nina motivation ya kuwa part ya Jeshi la Polisi kama Afisa Upelelezi lakini sijiskii kwenda Chuo cha Uaskari kwa miaka ingine kadhaa. Je, ni hatua zipi nifuate nifikie hii ndoto?
Ninapoishi kuna kituo cha polisi ambacho huwa natamani ningekuwa pale hata kuwasaidia kwa chochote. Nilifikiria kumface Mkuu wa Kituo na kumweleza lakini sijui kama ni sahihi.
Napenda maisha ya kumtrack mtu, shughuli za kiintelijensia na kujichanganya maeneo nikiwa kama mtu was kawaida kumbe ni Mpelezi.
Nifanyeje? nianzie wapi? Kuna uwezekano wa ku-jumpstart?
mkuu Meek Mill huyu kijana Joel Johansen anasemea upelelezi wa kipolisi (C.I.D) na sio upelelezi wa kijasusi (T.I.S.S)Mpaka Hapa Kazi Uwezi Pata.Maana Ungekuwa Serious Ungeshajua Procedure za Kujiunga..
Afu Nikuibie Siri Wengi waliopo Makazini na Wanafanya Shuguli Hizo wanafwatwa Na Kuobwa sio Wao Ndo Wanaomba
Internet Security na computer forensics.Kasome internet security maana huko polisi umechelewa. Wenzako wasote ccp we uje na shortcut zako. Koma kabisa. Utishia kupelelezwa wewe
Kasome CISA classes pale imit., hii kozi itakusadia katika kufanya it security auditing.Wadau,