Senator jr
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 367
- 496
Du aisee kweli jamaa hapo lazima achemkenianze na kukuvunja moyo, haiwezekani kwa mtu mmoja, mfano hilo far cry wamedevelop watu kama 700 hivi kwenye studio moja tu ya crytek bado hapo kuna watu kama ubisoft na red enterteinment wana mkono wao pia kwenye mambo ya ku publish nk
usishangae bakhresa na studio ya game zikawa na wafanyakazi, gharama na mapato sawa. hivi vitu vinakuwa expensive sana na haiwezekani mtu mmoja kukamilisha.
gharama za utengenezaji na matangazo ni budget za wizara za nchi yetu mfano game kama GTA V limecost dola milioni 265 ambayo ni kama bilioni 583 ya kitanzania. pia hayo magames usione yana story nzuri hivyo wanaajiriwa maproducer wakubwa wakubwa wa movie kutengeneza hizo plot. mfano kama game la Hallo microsoft walimuajiri peter jackson (producer wa lord of the rings na king kong) kutengeneza story ya game lao.
Mkuu asante sana kwa kunitia moyo ila mkuu hata kama kama project inachukua muda mrefu lakini mi idea yangu nilitaka kuanza kwenye game za open world .Je mkuu hakuna software ambazo zitaweza nisaidia..nije na kukupa moyo sasa, kuna developer wadogo hawa huitwa indie developer hawatengenezi games kubwa kama far cry, games zao huwa ndogo na mara nyingi hutumia software za kutafuniwa mfano rpg maker
ukiwa na software kama hio unakuta vitu vingi vimesharahisishwa tayari na kukupunguzia kazi mfano wa game lenye mafanikio ambalo limetumia software kama rpg maker ni doom and destiny lipo platform zote android, ios, wp, windows, xbox nk
pia kuna templates, game engine, hata ready made games za kubadili picha tu kama unataka shortcut
Acha ushogaUshauri wangu anza kutengeneza video kama za chura upate hit
"These things Can Be learnt." AnawezaChuo miaka 3 unasoma programming unataka kutengeneza game una poteza mda 2 bora utengeneze app nyingine games waachie wazungu
Sio kila kitu Kinasomwa Chuo, Chuo ni Mahali pa kukutana na Team members na Co-foundersChuo miaka 3 unasoma programming unataka kutengeneza game una poteza mda 2 bora utengeneze app nyingine games waachie wazungu