Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,863
- 3,895
- Thread starter
- #21
Asante karibu sana mkuuTunashukuru sana
Hongera kwa hatua nzuri ya maisha
Asante karibu sana mkuuTunashukuru sana
Hongera kwa hatua nzuri ya maisha
Ni kweli mkuu, Asante kwa ushauri wako.Mkuu hongera ila ujue ndoa si kuchati kuwa kifurushi kikiisha utanunua kingne ndoa ni utimamu wa akili kwa wanandoa
Njoo PM Mkuu nina Mambo kadhaa nataka kushare nawe.Kadi tafadhali
Pamoja mkuuNi kweli mkuu, Asante kwa ushauri wako.
Hapana uhakika upo, ila nimeona nishare na nyi wadau wa nguvu.Mbona unaaga huna uhakika na hyo issue?
Nawakaribisha kwenye sherehe mkuu.Unakaribisha wachumba au unatukaribisha kwenye sherehe?
Asante mkuu karibu sana.nikutakie safari njema.. tumia honey moon yako vizuri sana na kwa uangalifu mkubwa
Why?DONT
AsanteHongera
kuna bia?Asante mkuu karibu sana.