Nataka kumfungulia mke saluni ya kike ya kisasa

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Hi wanaJF
naomba anaelewa bei ya vifaa vya kisasa vya saluni ya anipe mtiririko nataka mke wangu asikae nyumbani akatafute na yeye sababu ana uchungu na maisha bora.
 
Kuna maduka ukienda utapata kila kitu nazani yapo maduka special kwa ajili ya kazi hiyo, Ok la pili je mke wako ana moyo na biashara? yuko tiyari? anaspirt ya kufanya biashara? au ni just asikae nyumbani?

Make madhara hapa ni unafungua baada ya muda inakufa,
 
Back
Top Bottom