mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,052
- 1,196
Ndugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi hakioneshi kitu. hivyo, nalazimika kutaka kuibadili display ili simu yangu ipate kurudi katika ubora wake.
Naomba kupata msaada wa wapi ninaweza kubadili hii display na gharama zake kwa hapa dar es salaam.
Nitashukuru kwa msaada wenu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app