Geredi
Member
- Nov 18, 2020
- 49
- 54
Habari,
Kijana, yoyote mzoefu wa KUCHOMA chips na mishikaki aliewahi Fanya hiyo kazi hapa Dar es Salaam au sehemu nyingi tuwasiliane aje PM.
Au kama anafanya tayari kuna ila hana mtaji wa Kutosha wa biashara mimi nipo tayari kutoa pesa , tutaona tunaelewanaje.
Nahitaji vijana wawili tu wachapakazi, waaminifu (Ujira(mshahara) maelewano Wala hakutakuwa na shida Kwa hilo.
Nitatoa vitu vyote vinavyohitajika kwaajili ya kuendeshea biashara hiyo.
LOCATION -Dar es salaam
Makazi watajitegemea wao wenyewe na chakula, ila nipo tayari kutoa Msaada wa chakula Kwa mwezi 1 wa kwanza.