Mkuu hata sijui tatizo nini,yaani utatumia muda mfupi tu itaanza kuzingua.
Ninachogo langu hapa home,tangu Naoa mwaka 2004 mpaka leo ipo.
Na haijaenda kwa funid hadi leo,ni Hitach.Nimenunua chogo jingine kubwa ila screan yake ipo flat,lakini zito balaa lipo fresh ile mbaya.
Uzuri wa flat ni ulaji wa umeme,hazili umeme kabisaa yaani kidogo saana,na zipo nyingine zina adapter hata kwa betri ya gari unaiwasha hata kama kubwa.Ila haya machogo kiasi fulani yanalamba unit ila sio kivile
Na Flat ikiharibika matengenezo yake sio ya kitoto,iloa chogo,hakuna matengenezo ya zaidi ya 30,000.