Natafuta supplier wa drip irrigation system ya bei nafuu

Zipo za aina mbalimbali kuanzia 1.85 mil kwa Eka nicheki 0688105073/0757065007
PIA NINA SOLAR PUMP ZA BEI POA 12000l/day at Head ya 20m kwa USD 1200
 
kwa Arusha kampuni ya drip za bei rahisi kwa sasa ni wade and rain ,jaribu kuwatafuta ,note:kuna vidrip vidogo kwaajili ya green house epuka kuvifunga nnje maji vinatoa kidogo saaana na weather ya huko ni joto utazichukia ,good luck
 
Kuna jamaa wako morogoro wanafunga drip Irrigation system kwa 2.5 M kwa acre, kama uko interested niweke mawasiliano
 
hivi ukivina tu na system yake unaitoa au unafanyaje hapo baada ya kuvuna.Na hao jamaa wanaofunga hiyo system hapo Moro hiyo bei ni costant au inategemea na zao linalolimwa maana distance ya mche na mche inategemea na zao linalolimwa.
 
Kuna jamaa wako morogoro wanafunga drip Irrigation system kwa 2.5 M kwa acre, kama uko interested niweke mawasiliano
Kuna jamaa wako morogoro wanafunga drip Irrigation system kwa 2.5 M kwa acre, kama uko interested niweke mawasiliano
Kuna jamaa wako morogoro wanafunga drip Irrigation system kwa 2.5 M kwa acre, kama uko interested niweke mawasiliano
Mkuu,hujaeleweka viyuri, hiyo 2.5M ni kwa u refu gani wa drip line? kwa sababu zinatofautiana kulingana na zao, je anauza tsh ngapi kwa mita? hii ndo ya msingi kujua
 
Wasiliana na agronomist Mabagala +255 754 282 448
 
Utalizwa pesa zako, google balton tz utapata no zao uwapigie
 
Mkuu,hujaeleweka viyuri, hiyo 2.5M ni kwa u refu gani wa drip line? kwa sababu zinatofautiana kulingana na zao, je anauza tsh ngapi kwa mita? hii ndo ya msingi kujua
Meter 2000 roller linauzwa million 1.2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…