Natafuta rafiki wa kiume

Status
Not open for further replies.

Uwa zuri

Senior Member
Feb 24, 2023
104
177
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.👇

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
 
Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
 
SIFA NILIZO NAZO.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA.

Watoto kuanzia 35 kushuka hamuhitajiki
 
Watoto mmepigwa biti kali msisumbue
 
Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
Hizi hasira siyo bure. Lazima umri utakuwa tu umegoma kabisa kufikia miaka 38, inayotakiwa na Uwa zuri 🌹
 
Sifa zote hizo wewe unazo au unataka tu mwenzio ndo awe nazo. Elimu yenyewe umesema una ya kawaida, umeshindwa kuweka wazi. Hapo unataka sifa kibao za mwanaume. Nyie ndio mna zeeka bila kuolewa kwa kujifanya kuwa selective. Sifa ulizoorodhesha utazipata kwa mpenzi sio mume wa maisha. Jiangalie umri wako sio haba.
Mkuu yeye ndiye anayejua mahitaji yake na ndo maana kaweka vigezo vyake. Wenye vigezo nendeni pm ukikuta sio choice yako basi unachukua ustaarabu mwingine!
 
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.

SIFA NILIZO NAZO.

Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.

SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA.

(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri kuanzia miaka 38-55
(6)Awe anajitegemea.
Kama unavigezo ivyo njoo PM na Kama haupo serious usije.

Watoto kuanzia miaka 35,34,33,30,29...kushuka chini jaman siwahitaji, narudia Tena siwahitaji.
Mmh aisée.npo na 37 na Siku120 vp nawezza kuja pm
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom