Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

faabroz

JF-Expert Member
May 26, 2009
286
69
Habari wakuu
Mimi ni kijana mwenye skills na knowledge katika Ujenzi wa barabara na majengo natafuta mbia(partener) wa kufanya nae kazi kwa kusajiri kampuni CRB
kwa muda mrefu nilikuwa na workshop ya kuchomeleaa madirisha, aluminum kwasasa nahitaji mbia tufungue kampuni hata ya kujenga na kusimamia project, gharama za awali kusajiki kampuni nitatoa mimi zote hata kutafuta kazi.

mbia lazima awe na VYETI VYA taaluma ya civil work awe techniciani au engineer tu.

ofisi itakuwepo NJOMBE kwa atakayependa kuja kuona ofisi live, kwa wale atakayekuwa mbali mikoani napatikana mwanza na DSM huko Nina project zangu pia.

kwa ambaye atakuwa interested
1- ani-ibonx, au
2-atume cv na vyeti email faabroz@gmail.com au faabroz@yahoo.com
3-call 0625750025

natanguliza shukrani
 
Unatafuta partner? Au technical personnel ili usajili kampuni? Inakuwaje unatafuta partner hata hamjaandaa memorandum na articles of association au partnership unataka atume cheti?
 
MI

mimi ni wazo hilo sasa inawezekana yeye hana wazo hilo, anaweza akatoa vyeti copy akawa anapata gawio kila mwaka au nikampa share zangu, usikalili kuwa lazima uaandae memorandum pamoja, ndo maana voda saizi unanua hisa nawewe unakuwa mmiliki wa vodacom-swali je ulikuwepo wakati wa uandaaji wa memorundum
 
Usichanganye public limited company na private limited company, wewe unaanzisha partnership na sio limited company

Anyway, ulikuwa mtazamo wangu vinginevyo itaonekana shida yako ni vyeti na sio partnership. Technical people wengi wameliwa kwa mtindo huo
 
MI

mimi ni wazo hilo sasa inawezekana yeye hana wazo hilo, anaweza akatoa vyeti copy akawa anapata gawio kila mwaka au nikampa share zangu, usikalili kuwa lazima uaandae memorandum pamoja, ndo maana voda saizi unanua hisa nawewe unakuwa mmiliki wa vodacom-swali je ulikuwepo wakati wa uandaaji wa memorundum
Wazo zuri sana. Lakini kwa nini usianze wewe mwenyewe yaan sajili kampuni (kampuni lazima iwe na wamiliki kuanzia 2 hivyo waweza kuweka kaka, dada, baba au mama). Then sajili hiyo kampuni CRB ili hata mbia mwenye cheti akute kitu. Hata kama ukishasajili ukapata mbia wa kugawana kampuni mbona ni rahisi tu; kitendo cha kumgawia vijishare na kutoa taarifa BRELA mwisho wa mwaka.
Hata mi naweza kukkusaidia kupata mwenye CV ndefu kwenye engineering, ninawafaham kadhaa. But nadhan shughulikia hilo kwanza.
 
Usichanganya public limited company na private limited company, wewe unaanzisha partnership na sio limited company

Anyway, ulikuwa mtazamo wangu vinginevyo itaonekana shida yako ni vyeti na sio partnership. Technical people wengi wameliwa kwa mtindo huo
afadhali umetulia maana ulikuwa unaongea sana kuliko uhalisia i wishi nikuoneshe kazi zangu kwa habari yako mimi ni proffesional wa ARCHITECTS MIAKA 5 AT UCLAS, hivyo unavofungua kampuni ya ujenzi building au civil ni lazima muwe na shared na civil part, uwe unajifunza kujua kabla ya kusema kwanzaa
 
ah
Wazo zuri sana. Lakini kwa nini usianze wewe mwenyewe yaan sajili kampuni (kampuni lazima iwe na wamiliki kuanzia 2 hivyo waweza kuweka kaka, dada, baba au mama). Then sajili hiyo kampuni CRB ili hata mbia mwenye cheti akute kitu. Hata kama ukishasajili ukapata mbia wa kugawana kampuni mbona ni rahisi tu; kitendo cha kumgawia vijishare na kutoa taarifa BRELA mwisho wa mwaka.
Hata mi naweza kukkusaidia kupata mwenye CV ndefu kwenye engineering, ninawafaham kadhaa. But nadhan shughulikia hilo kwanza.

AHSANTE SANA MKUU KWA MAWAZO MAZURI NGOJA NIFANYE HIVYO NISAIDE BASI HIYOO UNAWEZA UKANIPM NAMBA YAKO TUKACHATI ZAIDI THANX MUCH
 
afadhali umetulia maana ulikuwa unaongea sana kuliko uhalisia i wishi nikuoneshe kazi zangu kwa habari yako mimi ni proffesional wa ARCHITECTS MIAKA 5 AT UCLAS, hivyo unavofungua kampuni ya ujenzi building au civil ni lazima muwe na shared na civil part, uwe unajifunza kujua kabla ya kusema kwanzaa
Sawa, ahsante Proffesional wa ARCHITECTS MIAKA 5 AT UCLAS
 
afadhali umetulia maana ulikuwa unaongea sana kuliko uhalisia i wishi nikuoneshe kazi zangu kwa habari yako mimi ni proffesional wa ARCHITECTS MIAKA 5 AT UCLAS, hivyo unavofungua kampuni ya ujenzi building au civil ni lazima muwe na shared na civil part, uwe unajifunza kujua kabla ya kusema kwanzaa
Halafu mtaalam kuelezi chuo ulichosoma, ni dalili ya kutojiamini.
 
Back
Top Bottom