Natafuta na fasi yakazi ya udereva nimesoma nit VIP

Yakwangu 0653193838



Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohhh rafiki.
Nilimaanisha eleza sifa zako kwa ufupi.
Kazini wanahitajika madereza wwnye sifa hizi;
1.Form 4 certificate
2.Trade test or mechanical certificate level 2
3.Leseni class C or E.
Kama unavyo hivyo vitu nichek Mp weka nikupe namba ili tupeane maelezo ya jinsi ya kufika kazini.
Hii ni kwaajili yako tu.
Usichelewe
 
6274da1aa9105a52a9171d0ceb1cdf30.jpg


contact me 0717935186
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom