Natafuta mchumba

Yaan miaka 24 tu unakuwa desparate na ndoa hivo??Ushaur wangu RELAX mtu sahihi atakuja wakati sahihi chamsingi zidisha SALA mweleze Mola hitaji lako.
 
Mtoa mada amenifurahisha siyo kama wengine nataka miaka kuanzia 30+ wakati umri huo wengi wanakuwa wameoa au wana familia lakini nisiongee mengi usikuta kasahau kuweka kigezo cha umri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom