Natafuta mashine ya kufyatulia tofali ya umeme

Babavos

Member
Nov 3, 2019
90
221
Nahitaji kujua gharama ya kununua mashine ya kufyatulia tofali ya umeme bei na wapi zinapatikana kwa Dar es salaam
 
Ok but kwa uku mkoan nazan bei itakuwa juu ukilinganisha na Dar es salaam
 
Sijaelewa coz umerudia mara mbili.
Ni mashine ya umeme au tofali la umeme?
 
Nahitaji kujua gharama ya kununua mashine ya kufyatulia tofali ya umeme bei na wapi zinapatikana kwa Dar es salaam
Watafute hao wauzaji
Screenshot_20230516-153631_1.jpg
 
Nahitaji kujua gharama ya kununua mashine ya kufyatulia tofali ya umeme bei na wapi zinapatikana kwa Dar es salaam

Kuna uwezekano pia ukapata hii mashine kwa mkopo Kama hauna Cash, kuna kampuni inaitwa EFTA inatoa mikopo ya mashine na Magari yani kuanzia gari ndogo (private) mpka basi za mkoa na Trailer hizo. In case upo interested nipigie nikupe Maelekezo zaidi.
0714907814
 
Mkuu si ungemwaga nondo hapa...!
 
Kampuni ya EFTA inakupa uwezo wa kukopa mashine au magari yoyote kwa kutanguliza malipo ya awali ya 25% mpka 35% kwa muda wa mwaka mmoja mpaka mitatu kwa riba nafuu zaidi kwa mwezi…..

Mikopo hii itamuwezesha mfanyabiashara kupata mashine (ya uzalishaji) au gari lolote liwe la Transport ( daladala, trailer and horse, mabasi ya mikoa, Canter nk)

Kwa maelezo ya ufanisi zaidi piga namba 0714907814
 
Back
Top Bottom