L livelong Member May 1, 2016 69 73 May 13, 2016 #1 Natafuta kiwanja maeneo ya kibaha. Kwa ambaye anaweza kufanikisha anipm na namba yake nitampigia. Thanks
Natafuta kiwanja maeneo ya kibaha. Kwa ambaye anaweza kufanikisha anipm na namba yake nitampigia. Thanks
P Pope leo x JF-Expert Member May 11, 2016 264 143 May 15, 2016 #3 Kibaha na viwanja viwili ila nauza millioni kumi NNE kwa kimoja nataka anayechukua viwili vyote
P Pope leo x JF-Expert Member May 11, 2016 264 143 May 15, 2016 #5 Kibaha kuna viwanja viwili kila kimoja millioni kumi na NNE medium size
L livelong Member May 1, 2016 69 73 May 19, 2016 Thread starter #6 Pope leo x said: Kibaha kuna viwanja viwili kila kimoja millioni kumi na NNE medium size Click to expand... Vina hati mkuu
Pope leo x said: Kibaha kuna viwanja viwili kila kimoja millioni kumi na NNE medium size Click to expand... Vina hati mkuu
P Pope leo x JF-Expert Member May 11, 2016 264 143 May 19, 2016 #7 livelong said: Vina hati mkuu Click to expand... Njoo kwa namba niliziandika hapo upate maelezo nadhani utanielewa vema
livelong said: Vina hati mkuu Click to expand... Njoo kwa namba niliziandika hapo upate maelezo nadhani utanielewa vema