Natafuta kazi

john kipepe

Member
Mar 9, 2016
9
1
NATAFUTA KAZI ZA MAMBO YA STATIONARY..
Mm ni kichana umri miaka 22 naishi kigogo dar es salaam. natafuza kazi ya mambo ya stationary kwan nina ujuzi wa kitosha kuhusiana na mambo ya Microsoft office, excel,PowerPoint,publisher,na word. Kama upo interested nami tafadhal wasiliana nami kupitia jf pm..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…