Natafuta kazi yoyote ya halali

godlovee

Member
May 5, 2017
14
5
Habari zenu humu mimi ni Godlove kutoka Mbagala DSM nimemaliza form six nikajiunga na chuo (arusha universty) kwa course ya IT but kutokana hali ya maisha ikabidi niache masomo na sikupata mkopo pia.

Nimeshakua nafanya biashara chuo nauza nguo ,ubuyu,blacelates, pia nashona nguo
ila kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi coz hizo kazi zote nilkua nazifanya chuo pia nafundisha chemistry na biology O level + A level na nipo vizuri sana kwenye computer

Natafuta kazi yoyte halali kwa sasa

in God i trust

0656736536 .
 
Hizi elimu za siku hizi aisee. Hii form six na huo uandishi ndugu.

Haya, mi nakutakia kila la heri tu.
 
Kama uliweza kujiajiri ukiwa chuo kwa nn ushindwe ukiwa home
 
Google kuna Shule inaitwa Goldland tuna CV fasta ukafundishe bios
 
kudisko uku jaman kunawapotezea wengi malengo ok mungu yupo usikate tamaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…