Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

Dah muhitimu wa degree anaomba kazi huku lasaba D keshaona fursa kibao na anazifanyia kaz.
Story yangu kiufupi saana niliwahi kuhitimu chuo nkawaza saana mpka nkakonda nilichokifanya nilichukua boda boda kipande nilivopata uzoefu nkaingia kweny bajaj kwasababu nilikuwa nafanyia kitaa wanaponifaham nilisimangwa saana na ndug na majirani ikabidi nihame niende wilaya nyingne.
Nikawa na nidhamu ya kazi nkamiliki bajaj yangu. Kama mungu amekupangia amekupangia tu.
Siku moj nmembeba abiria wangu akapendezwa na huduma yangu akaniuliza elimu yang nkamwambia n akashangaa saana kilichofuata akaniunganish kweny mrad wao ajira ya muda kama miaka 5 hiv namshukuru mungu ajira ile ndio ikawa mwanz wa mafanikio yangu.

Kwanini nmesema hy stor yang nmesema hv kwasababu najua mleta mada kutokana na elimu yake kuna baadhi ya kazi anaona kama akifanya itamshushia hadhi kulingana na kiwango chake cha taaluma.
Bro tafta elfu 14 chemsha mayai anaza kutembeza kwenye bar utatoboa tu nenda kadake mitumba classic tembez mtaani utatoboa tu.
Yote ya yote mungu akupe maono mapana
 
motivation speaker , you can't be serious anymore
 
Ushauri mzuri ila kwenye kuuza mayai umezingua vibaya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom