Watu wengine kwa ubishi mmeshindikana!.
Mtu alimaliza form 6 combination HGK halafu masomo yote kafaulu. Akaamua kwenda kusoma diploma ya ualimu kwa kawaida masomo ya kufundishia ni mawili, akaamua asomee Hist na Geog, alipomaliza chuo akaajiriwa akafanya kazi miaka yake kadhaa, baadae akaamua ajiendeleze, kufika chuo kikuu akaamua asomee History as a major halafu minor akachukua Kiswahili....hakuna tatizo hapo.
Civics hufundishwa katika baadhi ya vyuo, vyuo vingine wanasomea political science.
Kama ikitokea shuleni pale hakuna mtu aliesomea kozi hizo na lazima somo lifundishwe, mnafanyaje? Civics sio Physics..... Atapewa mwl yeyote mwenye history au hata geography.