Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,394
- 1,816
Mimi ni kijana, nakuja kwenu wanajamii, natafuta kazi ya ualimu na nje ya ualimu mahali popote.
Nina uzoefu katika kufundisha( nimefundisha tuition muda mrefu), kilimo hasa cha bustani na kusimamia biashara ndogondogo, so hata kubwa naweza kusupervise.
Masomo yangu ni jiographia na uchumi. Napatikana mkoani Mwanza.
Naomba msaada na ushirikiano wenu. Asanteni.