Natafuta kazi ya statoinery, secretarial au kuuza duka

Jikson. wewe ndio unaomba kazi hapo ila Tangazo lako lipo kama wewe ndie unatangaza kazi kwa kwa maeneo hayo uliyoyataja...tangazo hivi kirahisi tuu..mimi naweza fanya kazi maeneo haya na namba yako basi watakutafuta tu
 
Upo tayar kua katav? Ok unaweza kutumia program za cs 6 au ps 6 na excell?

Kama unaweza hizo njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…