Natafuta kazi ya saloon

Jan 22, 2017
27
4
Habari zenu wapendwa!!! mimi ni binti mwenye umri wa( 23), nina elimu ya kidato cha nne ila baadae niliamua kuchukua short course ya hairdressing niko Dar kwa yoyote anayetaki anitafute. Shkran
 
Saloon ni gari; na salon ndio sehemu ya kutoa huduma inayoendana na fashion au beauty.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…