Wapendwa naamini mko wazima husika na na mada tajwa hapo juu, jamiiforum ni suluhisho la matatizo mbali mbali ya kimaisha naamini humu kuna mameneja,kuna madirector wa makampuni ya kitalii mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 32
Ninakaa Arusha nina uzoefu wa muda wa miaka tisa kwa hizi nafasi mbili naombeni msaada wenu please niko tayari kufanya kazi popote pale Tanzania iwe porini au mjini