jinimkata kamba
Member
- Apr 25, 2017
- 19
- 5
Mimi Nina diploma,nimesoma TPSC Magogoni 2015umemaliza chuo gani? na mwaka gani?
Bandiko la hovyo kabisa hili...Mimi ni msichana wa miaka 24. Natafuta kazi yoyote ila nina cheti cha records management
Naish dar es salaam
wewe ndo jinimkata kamba? au ndo mambo ya ID mbili.Mimi
Mimi Nina diploma,nimesoma TPSC Magogoni 2015
Tpcs 2012umemaliza chuo gani? na mwaka gani?
Sawa asante kwa ushaurNew member jf,jifunzeni kuandika vizuri mnapoomba kazi,, eleza details ulizonazo kikamilfu.
Mm ni mgen jf ila nitafanyia kaziBandiko la hovyo kabisa hili...
Basi sawaMm ni mgen jf ila nitafanyia kazi
Huogopi kumzodoa "jinimkata kamba" hahahahahaah atakudhuru wewee shauri yako!!! hahahahahaBandiko la hovyo kabisa hili...
Hawa majini, mihua naishia kuwazoza tu.....Huogopi kumzodoa "jinimkata kamba" hahahahahaah atakudhuru wewee shauri yako!!! hahahahaha
Wapo kipawa sehem gan mkuuKuna Kampuni mpya ya waizrael ipo Kipawa inaitwa TopArchive check nao