habar zenu wana jf,
moja kwa moja kwnye point ya msingi, mm nimesoma pharmacy kwa ngazi ya cheti nina leseni ya baraza la pharmacy na cheti changu lakin waungwa kaz azipatikan, sijui kwann??
kwa yoyote wakuweza kunisaidia kupata kaz jaman nitamshuru si kidogo.
kwa mawasiliano
0657025002,