NAOMBA MSAADA WENU WAKUU
wakuu kwanamna yeyote ile naamini humu kuna watu wana connection
na sehemu ambazo naweza kupata kazi ya taaluma yangu, najua shida inakua kwenye
uaminifu yaani mtu anaogopa kukuunganisha kwasababu hakujui nivile ameona tuu post hapa
lakini naomba kwangu isiwe hivyo amua kunisaidia kama una kazi au una connection pale ninapoweza kupata hiyo kazi, lakini kabla hujaniunganisha unaweza kunihoji ili kujilidhisha na kuamua kujua ninapo ishi, kuwajua wadhamini wangu n.k kabla hujaniunganisha na mhusika. najua CV haitoshi lakin angalau inaweza kunipa nafasi ya kupiga hatua ya kuaminiwa..
+255 714 045 080.
matendoandrew@gmail.com nipo dar es salaam.