Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,930
Hello wanajukwaa,
Naomba kurudi kwenu kuomba kama nitapata binti wa kazi atakayekubali kwa hiki kiasi kidogo cha pesa nilichobarikiwa na Mola cha 63k kwa wiki, sawa na 9k kwa siku. Ni kwa vile tu hali ni ngumu kwa sasa
Binti anatakiwa awe na bidii ya kazi, nikisema binti wa kazi awe wa kazi kweli kweli, awe na umri kati ya miaka 17 na 21. Asiwe na mtoto, asiwe mtu wa kuranda randa mitaani na kwenye majumba ya watu, asiwe na kiburi au dharau, asiwe mrefu kiivyo wala mfupi kiivyo, awe na urefu wa kati, walau anifikie kifuani, asiwe mnene sana wala asiwe kimbaumbau, awe na sauti nyororo kiasi kwamba nikiskia "Karibu chakula boss" hata kama nimeshiba nihisi njaa kali sana.
Awe ni mtu wa kuonesha tabasamu kutoka kwenye sura yake ya malaika kiasi kwamba aendane na mwonekano wa gheto langu lenye kitanda na godoro 5×6, vyombo vichache tu pamoja na jiko la gesi, smart tv ya High HQ inch 32, home theater ya mchongo niliyoinunua kwa 120k na flash ya movie
Sakafu ya gheto langu ina vigae, hivyo kumrahisishia zoezi zima la kufanya usafi. Kazi zitakazokuwepo ni pamoja na kuamka saa 11 ili kunitayarishia chai na maji ya kuoga, kunifulia nguo (mara moja kwa wiki), usafi ndani kwangu, kunitayarishia chakula cha jioni, kunilisha na kunibembeleza ili nilale
Ofa atakazozipata ni pamoja na 40k jumamosi ya mwisho ya mwezi kwa ajili ya matumizi yake binafsi, 10k ndani ya wiki ya pili ya mwezi kwa ajili ya Pedi.
Kazi ninayoiona ni ngumu hapa kwangu labda ni kufua tu, hata hivyo huwa sichafui nguo saaana. Kuhusu usafi aondoe shaka, maake nyumba yangu ni chumba kimoja tu (gheto)
Anayewiwa, au anayeweza kunipa connection ya kumpata anicheki PM
Muhimu: Binti huyo awe na mtrako skonzi unaonesa nesa, asiwe mtu wa kugawa gawa, awe na nyou nyou zinazoeleweka
Nawasilisha, msaada wakuu