Husika na kichwa cha habar apo juu, natafuta banda la kukodi kwa ajili ya ufugaji kuku Wa biashara.
Banda lisiwe kubwa Wa Dogo sana liwe saizi ya kati.
Banda liwe mjini au nje ya mji yote sawa.
Tanguliza shukran zangu.
N.B Niko Mbeya mjini
Njoo PM kama unalo.