Nashangaa wabongo wanaowashobokea wayahudi

Status
Not open for further replies.
Isaraeli
- Taifa la kwanza kuhalalisha ushoga, hata kabla ya nchi kama USA hawajahalalisha Isareli yeye alikuwa tiyari, kwenye Jeshi ndo wa kwanza kuhalalisha ushoga jeshini.

- Israeli Taifa ambali ndo namba moja katika mataifa yaliyo kuwa ynasapoti Makaburu kule South. Israeli alikuwa ndo mtoa misaada na siraha namba moja kwa makaburu.
- Israeli alisaidia makaburu kuunda siraha za Nuclear ili kupambana na waafrica.

- Israeli Viongozi wao hawakuhudhuria, hawakutoa pole, hawakutuma mwakilishi kwenye msiba wa Mandela. Mnajua ni kwa nini?

ISHU KWAMBA ISRAELI WANA AKILI SIO KWELI.

-Mataifa mengi sana wamejairiwa akili, Wajapani wamegundua vitu vingi sana
- Warusi ni moja ya matafia yenye IQ ya juu sana
- Ulaya wamevumbua vitu sana
- USA wakina Thmnoas Edson wakina Michel Del
Halafu ni huku Bongo tu ndo tunashabikia Israeli kwamba ni taifa teule hebu nenda kwa wazungua au waulize wazungu wakristo kama kule kwao kuna huu ujinga, na wazungu ndo walileta Dini Africa
Hivi waliosurubisha Yesu walikuwa Taifa gani? Masuala ya Ukatiri na Uhalifu wa kivita haubadili masuala ya kiimani,Wakiwa safarini to Africa (Misri) njiani walimuasi Mungu na kutengeneza Mungu wa ndama wa Zahabu so hata Ukisoma Biblia ktk nyakati mbali mbali walishamtenda Mungu Uasi mkubwa huko awali kwa Babu yao Ibrahim kwa kosa la Ushoga alifikia mpaka Mungu akawapiga kiberiti ndani ya ardhi hiyo hiyo
 
Wal

Walokole wameshikiwa sana akili, na hii ni mbaya sana, But waolokole wa Kizungu huwezi wasikia wanashabikia Israeli, huku Arusha kuna Redio moja ya dini huwa nasikia eti kuna Sadaka ya Isaraeli yaani Sadaka kwa ajili ya taifa la Isaraeli, yaani ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa,
sadaka ya Israel? hahaaaa, halafu mchungaji anawadanganya kuwa wanaituma Israel, kumbe anaitumia.....
 
Na wewe mwarabu kakufanya nini?.
ushasikia sisi tunasema saudia ni taifa teule la Allah sw? How comes Mungu wenu awe mbaguzi kiasi cha kuwa na taifa teule na mataifa yasiyo teule? na mbaya zaidi mmnaamini japo wao sio wakristo ila bado ni wateule wa Mungu wenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom