Napenda sana msichana wangu awe ananiomba hela

Mwanamke asipokuomba hela ujue anakupenda sana. Nishawahi kuwa na mpenzi alikuwa mzuri kupindukia na nimeachana naye several weeks ago baada ya uzalendo kunishinda na ni baada ya jaribio langu la kuachana naye kama mara kumi hivi kushindikana. Sababu ya umalaya wake. Ofcourse nimeoa, na nlikuwa nampenda sana na yy alikuwa ananipenda hakuna mfano. Ila tatizo ni kicheche asiye hata na shimo la kuishi yeye kila kichuguu anavamia. In short ni type ya wale wanawake umesafiri naye kwenye bus unamtongoza then anakupa mzigo. Mwanzo nlikuwa namhudumia kila kitu mpaka kumsomesha, akiugua namtibu, hela ya matumizi, ada ya chuo, na ana mazi mmoja wa kike ambaye hana uwezo hata wa kumnunulia gauni. Sasa nilishamkamata na wanaume tofauti kama mara kumi hivi. Na last time nlisafiri kimasomo nje ya nchi nikakuta ana mwanaume mwingine. Yeye alikuwa akifanya hivyo anasema nisimwache kwa sababu amefanya kosa basi nisimhudumie kwa chochote, na kama nitatafuta mwanamke mwingine haina shida ila tu nisimnyime mhogo. Basi nikawa nafanya hivyo japo sikutafuta mwanamke mwingine ila nilisitisha huduma zote baada ya yy kumaliza chuo. Tukaendelea kwa muda kama miaka 2 sasa huyu dada nina uhakika ananipenda kwa dhati na mm nampenda mpaka kesho na tunawasiliana vizuri kama marafiki ila mapenzi nooooo. So mwanamke anayekupenda huwa haji kwa ko ili umpe hela
 
Screenshot_20170331-215523.png
 
Mimi napenda kupewa bila kuomba. why nikuombe ombe jamani
Usiponiomba nakupiga chini maana nitakuwa na mashaka kuna mtu unamtegemea zaidi kuliko mimi. Afu nitajuaje shida zako zote?
 
We sema unataka waku pm basi nothing else.
Mkuu ukiona demu wako ana maendeleo mazuri - mara ana gari mara ana kile, na kipato chake unakijua hakiwezi kidhi hayo na wewe huhusiki na maendeleo yake utajisikiaje?
 
Mkuu ukiona demu wako ana maendeleo mazuri - mara ana gari mara ana kile, na kipato chake unakijua hakiwezi kidhi hayo na wewe huhusiki na maendeleo yake utajisikiaje?
Kutakuwa na maswali ya kumuuliza, na hii ni ishu nyingine tofauti na swala la kumtaka aniombe pesa kila Mara na asipoomba nimpige chini.
 
Kutakuwa na maswali ya kumuuliza, na hii ni ishu nyingine tofauti na swala la kumtaka aniombe pesa kila Mara na asipoomba nimpige chini.
Huko kwenye kuulizana mtafikia wapi sasa, kama siyo kupigana chini? Tuseme akwambie "kuna kaka mmoja kanisaidia tu", inakuwaje hapo, hamjamwagana bado? Ndo maana mi naona ili tusifike huko na kwa sababu nampenda nitafurahi akiwa ananiomba pindi ananapokuwa na shida.
 
Back
Top Bottom