Anza kwa kuelewa aina ya simu (makampuni) tofauti zisizopungua kumi.....ili ujue operating system zao pamoja na chip wanazopenda kutumia.....then ujifunze hardware(kutengeneza) hapo itakupa urahisi unapotaka kuichezea simu kwa namna yeyote kwa ufupi vitu kama spectrum,coolpad,mediatek,snapdragon(qualcomm),exynos,mali,kirin viwe ni vitu ambavyo ukisikia ujue unaanzaje kuitengeneza hiyo simu.....