Wana fahamiana hawa. Wote walikuwa pampja na Mzee wa saa 6 kule Chereko Chereko Jioni (CCJ). Wamezidiana tu, Ajabu ni kuwa Mdogo (RC) ana sauti (na pengine umaarufu) kuliko Mkubwa (Waziri) kwa sababu ya mbelekoKanda..Nape anataka Makonda awe karibu yake ili wammalizie friendly and softly.
Watu wa fitna na unafiki wamekutana wao kwa wao.
Mapema Leo mh Nape amezungumzia juu ya kile alokiita 'ama kupotoshwa au kutafisiliwa isivyo maana ya maneno anayoyandika ktk mitandao ya kijamii.
Kwangu mm naona mh huyu ameanza kuuogopa ukweli wake auaminio.Ktk maisha wanadamu huwa nyakati zingine tunajawa na hofu ambazo wala hazina maana yeyote!Nape simamia ukweli wa ndani ya roho yako.Dumu ktk kuipa roho yako kile ikitakacho.
Nape kumbuka nafsi yako itakulilia milele utapoiasi!Zaidi itakulilia kwa mile kwalo ww huitendei haki.Kumbuka namna ulivyopambana ww na komredi Kinana kwa namna mlivyohangaika usiku na mchana kukisafisha chama ambacho leo tena kimeingizwa ktk majaribu makubwa na watu ambao hata chembe ya namna mlivyopambania chama hawakuwa hata mwishoni mwa mstari!Watu wasio na hata chembe ya uvumilivu!Wapenda SIFA na waliojaa majivuno!
Pambana brother na dumu ktk kile moyo wako unataka.