Kanywe sprite bariiidi inasaidiwa kukata pombe.Alichojibu Nape yupo sahihi kabisa Kipindi cha BUNGE huoneshwa Usiku Serikali haijakataza.Sema wapambe wengi huwa Wamelala au wako .Mh.Waziri yupo sahihi waache kutulisha Maneno.Watanzania Awamu hii wanaelewa Serikali yao Inawafanyia nini chini ya Uongozi Mahiri wa Mh.JPM hadi kuwapelekea kukosa Hoja zenye Mashiko
Hakuna mtu wa hovyo kama Nape hapa Tanzania
Mbona uzinduzi wa daraja la Kigamboni haukurekodiwa ili uonyeshwe usiku na badala yake ukarushwa live?Alichojibu Nape yupo sahihi kabisa Kipindi cha BUNGE huoneshwa Usiku Serikali haijakataza.Sema wapambe wengi huwa Wamelala au wako .Mh.Waziri yupo sahihi waache kutulisha Maneno.Watanzania Awamu hii wanaelewa Serikali yao Inawafanyia nini chini ya Uongozi Mahiri wa Mh.JPM hadi kuwapelekea kukosa Hoja zenye Mashiko
Naona uelewa wa nape ni mdogo,au basi anajitoa akili mwenyewe kwa makusdi ili awadanganye wadanganyika,yeye kweli hajui nini maana ya matangazo live?Nape Nnauye akijibu Maswali bungeni, kapinga vikali kauliza Watu wanaodai kwamba Serikali imekataza kuonesha bunge live, kwani bunge linaoneshwa Asubuhi vilevile linaoneshwa usiku mwanzo mwisho.
Wanaodai kwamba bunge halioneshwi ni wale wanaotaka kuchonganisha rais na Wananchi wake. Ni vizuri tukaweka Records sawasawa, wanazungumza kana kwamba Serikali ya awamu ya tano imekataza kabisa kurekodi bunge kabisa.
Tuache kuwadanganya wananchi kwa kusema uongo kwamba Bunge Limepigwa marufuku.
Sijui elimu ya Nape lkn nina wasi wasi naeAkijibu hoja bungeni alisema TFF ni Tanzania Footbal association na si Tanganyika Football Association,huyu ni kichekesho
Watanzania tunapokwa kodi zetu eti kwenda kulipa mshahara wa mtu kama napeHakuna mtu wa hovyo kama Nape hapa Tanzania
Tunahitaji live!!!!!! Wacha kumbwelambwela hapa jamviniAlichojibu Nape yupo sahihi kabisa Kipindi cha BUNGE huoneshwa Usiku Serikali haijakataza.Sema wapambe wengi huwa Wamelala au wako .Mh.Waziri yupo sahihi waache kutulisha Maneno.Watanzania Awamu hii wanaelewa Serikali yao Inawafanyia nini chini ya Uongozi Mahiri wa Mh.JPM hadi kuwapelekea kukosa Hoja zenye Mashiko
Masikini wananchi wa jimbo la mtama wanajuta kupoteza kura zaoAkijibu hoja bungeni alisema TFF ni Tanzania Footbal association na si Tanganyika Football Association,huyu ni kichekesho
Wewe Ni usajiri mpya?Alichojibu Nape yupo sahihi kabisa Kipindi cha BUNGE huoneshwa Usiku Serikali haijakataza.Sema wapambe wengi huwa Wamelala au wako .Mh.Waziri yupo sahihi waache kutulisha Maneno.Watanzania Awamu hii wanaelewa Serikali yao Inawafanyia nini chini ya Uongozi Mahiri wa Mh.JPM hadi kuwapelekea kukosa Hoja zenye Mashiko
tanzania football federationAkijibu hoja bungeni alisema TFF ni Tanzania Footbal association na si Tanganyika Football Association,huyu ni kichekesho
Mkuu habari za siku .Hakuna mtu wa hovyo kama Nape hapa Tanzania