Return Of Undertaker JF-Expert Member Jun 12, 2012 4,572 26,885 Mar 23, 2017 #1 NAPE AMEKAMATWA MUDA HUU. Aliyekuwa wazirii wa Habari na Sanaa. Nape Amekamatwa Na watu wasiojulikana na kuingizwa ndani ya Gari Aina ya Ford Lenye namba T678 CTK. ======= KANUSHO: Habari hii si ya kweli, Nape Nnauye hakukamatwa. Aliweza kuongea na Wanahabari. Soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...-akasirishwa-na-aliyemtishia-bastola.1222632/
NAPE AMEKAMATWA MUDA HUU. Aliyekuwa wazirii wa Habari na Sanaa. Nape Amekamatwa Na watu wasiojulikana na kuingizwa ndani ya Gari Aina ya Ford Lenye namba T678 CTK. ======= KANUSHO: Habari hii si ya kweli, Nape Nnauye hakukamatwa. Aliweza kuongea na Wanahabari. Soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...-akasirishwa-na-aliyemtishia-bastola.1222632/
kilokiki JF-Expert Member May 3, 2016 1,376 2,841 Mar 23, 2017 #6 Kama ni kweli Nataburi kitu kibaya kitakuja kutokea
NIYOMBARE JF-Expert Member Aug 26, 2016 3,718 4,226 Mar 23, 2017 #8 Yale ya Rwanda yanaanza kuonekana Tanzania.Watanzania tumpinge uyu kichaa kwa nguvu zote.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 52,034 114,433 Mar 23, 2017 #11 Naweka chance ya kukoment hapa Nitarudi ikidhibitika
U umande JF-Expert Member May 11, 2012 313 163 Mar 23, 2017 #13 Hii muvi nzuri sana. Tena ina waigizaji wakubwa.
Bome-e JF-Expert Member Jan 3, 2014 17,142 26,132 Mar 23, 2017 #14 Root said: TISS wamefanya yao tayari Click to expand... Makonda tayari kashamtia kabari
M mbingunikwetu JF-Expert Member Feb 17, 2015 13,873 18,433 Mar 23, 2017 #15 Utulivu! Mungu yupo! Anaona!
Jurrasic Park JF-Expert Member Sep 13, 2013 3,797 6,795 Mar 23, 2017 #16 Sasa saa nane alikuwa anataka kuongea na waandishi wa habari au ndo ya ulimboka yanajirudia
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member May 8, 2013 9,552 24,164 Mar 23, 2017 #17 Tupo kwenye serikali ya kidikteta haswaa.. Nilikuwa nina wasiwasi sana kama atafanya hii press conference bila bugudha.
Tupo kwenye serikali ya kidikteta haswaa.. Nilikuwa nina wasiwasi sana kama atafanya hii press conference bila bugudha.
NIYOMBARE JF-Expert Member Aug 26, 2016 3,718 4,226 Mar 23, 2017 #18 "Ukisema ukweli wanakuzima kama analogi kwenda digital
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,850 Mar 23, 2017 #20 Wameharibu ladha yote.Nilikuwa mkao wa kula habari