Odhiambo cairo JF-Expert Member Jul 11, 2015 15,989 22,073 Apr 9, 2017 #21 barafuyamoto said: Kwa taarifa yako target kubwa ya kila mbunge ni kuwa waziri, ukiomba ubunge indirectly umeomba uwaziri pia, ni nundaz tu hawaoni hili. Click to expand... WaTz na hasa wana CCM msipoamini kwenye uhuru wa kutoa mawazo na mkabaki na chama au Rais anayeabudiwa mafanikio wataendelea kubaki kuwa kitendawili. Nape au hata wana ukawa kuhoji juu ya utendaji wa chama au wa Maghufuli ndiyo siasa ya ulimwengu wa ki democracy na ndiyo maendeleo
barafuyamoto said: Kwa taarifa yako target kubwa ya kila mbunge ni kuwa waziri, ukiomba ubunge indirectly umeomba uwaziri pia, ni nundaz tu hawaoni hili. Click to expand... WaTz na hasa wana CCM msipoamini kwenye uhuru wa kutoa mawazo na mkabaki na chama au Rais anayeabudiwa mafanikio wataendelea kubaki kuwa kitendawili. Nape au hata wana ukawa kuhoji juu ya utendaji wa chama au wa Maghufuli ndiyo siasa ya ulimwengu wa ki democracy na ndiyo maendeleo
Mpunilevel JF-Expert Member Sep 14, 2015 3,140 1,871 Apr 9, 2017 Thread starter #22 Mawazo baada ya kutemwa ni unafiki uliotukuka. Angetoa haya maoni akiwa waziri nigemkubali