Nape hukuzaliwa kuwa waziri

Kwa taarifa yako target kubwa ya kila mbunge ni kuwa waziri, ukiomba ubunge indirectly umeomba uwaziri pia, ni nundaz tu hawaoni hili.
WaTz na hasa wana CCM msipoamini kwenye uhuru wa kutoa mawazo na mkabaki na chama au Rais anayeabudiwa mafanikio wataendelea kubaki kuwa kitendawili.

Nape au hata wana ukawa kuhoji juu ya utendaji wa chama au wa Maghufuli ndiyo siasa ya ulimwengu wa ki democracy na ndiyo maendeleo
 
Mawazo baada ya kutemwa ni unafiki uliotukuka.
Angetoa haya maoni akiwa waziri nigemkubali
 
Back
Top Bottom