MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,559
- 3,373
Jing aa kabisa.Nape+Roma+.....+....+maneno ya Nape kusema kuwa wananchi tunaogopa kutekwa!!!!!!! Ni kituko haswaaaa
Majambazi wanaua watu kila siku, nyumba zinavamiwa mbona hasemi tunaogopa hayo!? anakuja kuongelea ya aliyopanga na wenzake ndio anapaisha. Yule mtu na bunduki ilikuwa gemu yake, Nape now anaweza kufanya lolote hajali kabisa sabahu kaumia kukamatwa na mkulu. Njia zao za kuapata pesa nyingi zimebanwa haswaaaaa.
Nani kamtuma kusema nchi hii kuna hatari!?
Yaani hao waliopotea inabidi wahojiwe haswa haswa, waeleze. Walirudi nyumbani, halafu ndio wakaenda polisi baadae!? Nasubiri nipate habari kamili hapa mienendo yap wote na Ruge ndani.
Kumuongelea Ben Saanane, aaagh bado kusema Makonda alivamia clouds huku aliingia. Na pia kusema ya akina Roma eti nchi hatari wamepotea muda huu huu....mmmmh kweli huyo na kujuana na watu eti hakujua amesharudi home!!!?
Uchunguzi muhimu na unaendelea tangu, gemu la kumsakizia Makonda na JPM pia, ni hawachoki kujaribu.
Madawa ya kupevya ndio limeleta haya
wanadanganya umma kwa kusingizia eti Mkaonda ja JPM walipanga hasitokee kwenye magazeti...mmmmmmh!!!!! Yaani mmekuwa low kiasi hicho, pole yenu na mtanyooka tu.
Hivi kwanini waongo na hawa wanaopanga viplani bomu, hawajui kuwa kupanga mambo ni lazima uwe na akili sanaaaaaaaa. Kweli wanachekesha
Halafu maadui wa Makonda mpo wengi, muongezee baraka jamani tele tele.
Yangu macho niketi mie kwenye kigoda.
Makonda oyeeee