Naomben msaada wenu

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
449
140
Naomba kujua uimala wa GARI HIZI 3
VITZ
SPACIO
IST.
N
IPI GARI BORA NA NGUMU .binafsi nashindwa nichague ipi,mawazo yenu tafadhari
 
Itategemea na matumizi yako ila ingekuwa mimi ndo natumia ningechagua kama ifuatavyo.
1. IST
Hii ni gari ambayo ni imara, haina matatizo ya hapa na pale, utamaliza miaka mingi bila kugusa kitu zaidi ya kufanya service ya oil na kubadilisha hydraulic, utatembelea karibia sehemu zote na inatumia vzr mafuta.
2. SPACIO
3 VITS
ist na spacio nimetumia vits sijawahi kutumia ila hata kwa muonekano haina nafc yakutosha
 
Nashukuru sanaa kaka Mungu akubariki kwa ushauribwako
 
Kwahyo IST cc 1300 naweza kwenda nayo had sumbawanga au...nzr ni cc 1500
 
Unaweza ila cc 1500 ni jiwe zaidi.
Nimewahi kutoka nayo moro mpk dom kwa saa moja dk 15 hiyo ni safari fupi 2 yamfano niliweka mafuta ya 40 ila niliyotumia ni kama robo ya mafuta niliyoweka.
Ila apacio nilipenda coz ina nafas kubwa
 
Ila apacio nilipenda coz ina nafas kubwa
Spacio ipo vzr pia ingawa sijaitumia sanaa kama ist, pia binafc cpendi spacio ya automatic door km mlango wa daladala na sikushauri kwa matumizi ya kwetu katumba & katete.
Spacio zipo za milango ya kawaida pia.
 
Nashukuru maake mm cna uzoefu wa hiv vitu.ila umenifungua macho
 
Spacio ipo vzr pia ingawa sijaitumia sanaa kama ist, pia binafc cpendi spacio ya automatic door km mlango wa daladala na sikushauri kwa matumizi ya kwetu katumba & katete.
Spacio zipo za milango ya kawaida pia.
Kwahyo kama ntachua spacio nichukue manual door
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…