The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,175
- 10,459
Salaam!
Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa.
Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada.
Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni.
1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho, utatolea macho wangapi kama wewe siyo limbukeni.
2. Kila demu unapiga miluzi mingi na kupispis....limbukeni.
3. Kila demu unayekaa naye seat moja kwenye daladala au sokoni au bar au wapi wataka kuchukua namba huu ni uzuzu na utahira.
4. Kila demu ni pisi kali kwako ushamba huu.
Nimewaona wanaume modernized ni mara chache sana wanaduwaa kwa kina dada na kuwashobokea.
Option yangu mimi nikimuelewa demu tena kwa matamanio kadhaa kwamba she is beutifull and bright huwa ananipatia simu yake, mimi ndiyo niandike namba yangu anitafute, asiponitafuta atajua yeye mwenyewe wala siwazi.
Wengine jifunzen kuwapa hata mademu business cards zenu.
Sio kukariri kila siku kuchukua namba tu afu inakuwa hewa unakuja kulia lia mapenzi magumu.
Bado nasema hivi pisi kali kunipata lazima itoe jasho.