swauibraah
Member
- Apr 5, 2023
- 6
- 5
Wakuu nahitaji mnisaidie experience hasa kwenye biashara ya kuuza mayai ya kuchemsha, nina wazo la biashara hii lakini sijajua changamoto zake na faida zake kiufupi naomba mnipe madini kuhusiana na biashara hii na mtaji wa kuianzia hii biashara.
Ahsanteni.
Ahsanteni.