Ufundi wa vifaa tiba , ila kwa mwaka wa kwanza na wapili nadhani utajifunza umeme na electronics kisha mwaka wa mwisho ndiyo uta ongeza vifaa tiba pamoja na masomo kadhaa ya afya kama physiology ila si kiundani .
Nadhani ni vyuo viwili tu vinatoa hii kozi Arusha technical ambapo wana diploma na degree na mubimbili nadhani wana diploma pekee na ni kozi ambayo ajira ni uhakika .
Ushauri
Kati ya vyuo hivyo viwili kozi hiyo ilikuwepo arusha technical kwa ngazi ya diploma since kuanzishwa kwakwe 2014 nadhani ila degree ndiyo imeanza mwaka 2020 kama sikosei kwa muhas wana diploma ambayo imeanza 2020 kama sikosei so tech wapo vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.