tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Wakuu, nilikua na mkopo wa heslb kama 13m hivi, nimelilipa wee mpaka limebaki 2.8m, sasa naona linanikera tu coz haliishi pamoja na juhudi zangu za kulipa nilizonazo.
So nafikiria kutafuta hiyo balance yote iliyobaki kutoka vyanzo vingine vya mapato nilipe hilo deni then mimi nibaki nadaiwa na hivyo vyanzo vyangu nitakavyokua nimenyofoa hiyo pesa.
Je, nitakua nimefanya uamuzi sahihi wakuu?