Naomba Tundu Lissu unijibu haya maswali...

Nawe pia tuambie ni Nchi gani Duniani ambayo inaheshimu utawala bora na Katiba, Rais anadiriki kutamka mbele Tv kuahidi kumlinda mtangulizi wake kwa gharama yoyote ile.?
 
Mtoa mada soma katiba ya JMT, Ndipo utamuelewa Mwanasheria Msomi Mh Tundu Lissu, vingnevyo na kwa uwezo wako wa kufikir na kukurupuka utafkir mh lissu amekosea, kumbe yupo sahihi
 
MSHAURI_WA_NCHI naomba usimsumbue wakili msomi kama Lissu hayo maswali yako mawili naomba useme unataka ujibiwe kwa mtindo upi?
1.Insha
2.Kwa ufupi
3.Mtindo wowote ili mradi upate jibu kisha mwanangu wa miaka miwili akiinuka nimwambie akujibu kisha niitume humu,kwasababu maswali yako hayahitaji hata mtu anayesoma chekechea
 
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?

2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?

My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.

Kwa mstaarabu.
Mtu aliyewahi kulazwa milembe hosptal ujue huwa anapata nafuu tu, sio kupona kwa 100% hivo mwezi ukiwa gizani hurudia hali ya lile tatizo
 
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?

2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?

My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.

Kwa mstaarabu.
Umepata wapi mamlaka ya kuandika thread dhaifu ka hii.. ACHA KUJIPENDEKEZA
 
Nchi nyingi Duniani zinaheshimu bunge,mahakama na kuweka kando polisi ,Obama amewahi kuwasihi wanasiasa Wa Republican na Democrat kuacha tofauti zao ili kujadili suala LA Bima ya Afya hakuwafukuza wabunge Wa upinzani japo alidominate Binge

2.hakuna anayetamani kumdharau mtawala,tukukumbushe tu kuwa,Clinton aliwahi kuambiwa" iwapo amediriki kusaliti ndoa yake kwa katibu Muhtasi Lowinsky hawezi kushindwa kuihadaa nchi" Rais Clinton hakuwakamata viongozi hao

Ninachoona huna reference nzuri malezi yako ndio yanakufanya utetee haya madhaifu
Mkuu huyu na haka kaswali kake UCHWARA umemjibu vitu vikubwa sana nadhani umemzidishia dozi huyuuui
 
Nchi za wenzetu Tundu lissu sasa hivi angekuwa Milembe. Demokrasia ndio inamuacha mtaani.
 
so kama clinton alitukanwa na ssi ruhsa kutukana... napata hofu kama we ni muumin wa din yoyote ile
Aliyesema vilaza hakutukana ila aliyesema uchwara ndio mbaya kabisa biblia kama unaisoma isaya 5 inasema nanukuu",. Ole wao wanasema uovu no wema na wema niuovu"

Aisha biblia hiyohiyo inasema katika kitabu cha Paulo kwa Timotheo" kila anayetaka kuwa kiongozi atamani kitu chema imempasa kuwa mtuvmkweli mvumilivu,mwenye kiasi,asiyena ndimi mbili,anayechukia mapato ya aibu,mpole na mnyenyekevu kwani baba yenu wa mbinguni ni mwingi wa huruma ajuaye sikitiko"

Kumcha bwana ni chanzo cha hekima
 
Na haya mengine ayajibu. Ni nchi gani yenye democrasia halisi (original):

1. Walio wachache (minor = walioshindwa kwenye general election) ndiyo hutawala na kulazimisha maoni yao ndiyo yatekelezwe na walio wengi?
2. Walio wachache kila kukicha wanakuwa mitaani wakikosoa kila kinachofanywa na walio wengi, wakitukana utawala uliowekwa na walio wengi wakihamasisha wananchi wauasi utawala huo?
3. Kinga ya mbunge ya kuropoka cho chote inakuwapo hata nje ya vikao vya bunge?
4. Katika mijadala ya bunge, wabunge wanaowakilisha wachache wanaondoka bungeni kupeleka mijadala hiyo ikajadiliwe na kuamuliwa mitaani?
5. Walioshindwa kwenye general elections wanakataa matokeo ya uchaguzi huo halali, wanakataa kumtambua raisi na utawala wake? Halafu baadaye wanamu address kama rais wakati hawajafuta kutomtambua kwao?
6. Mtu analazwa lockup anapelekwa mahakamani. Ndani ya mahakama mtu huyo anacheka cheka throughout? Is that normal human behaviour or some sort of mannerism?

Nchi yetu tusiiharibu kwa ku copy & paste democrasia feki za wenzetu ambao matokeo yake yanaonekana kwa kila mwenye akili. Tuangalie nchi zenye demokrasia makini zinavyofanya ambazo matokeo yake ni chanya - kwa mfano China ambako mtu akibwabwaja kama mnavyofanya wanakupoteza haraka.
 
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?

2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?

My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.

Kwa mstaarabu.
elimu elimu elimu
 
Nchi nyingi Duniani zinaheshimu bunge,mahakama na kuweka kando polisi ,Obama amewahi kuwasihi wanasiasa Wa Republican na Democrat kuacha tofauti zao ili kujadili suala LA Bima ya Afya hakuwafukuza wabunge Wa upinzani japo alidominate Binge

2.hakuna anayetamani kumdharau mtawala,tukukumbushe tu kuwa,Clinton aliwahi kuambiwa" iwapo amediriki kusaliti ndoa yake kwa katibu Muhtasi Lowinsky hawezi kushindwa kuihadaa nchi" Rais Clinton hakuwakamata viongozi hao

Ninachoona huna reference nzuri malezi yako ndio yanakufanya utetee haya madhaifu
Yani mifano yote uliyotoa iko tofauti kabisa na maswali ya mleta mada...

Sijui kama umezisikia vizuri zile kejeli za Lisu.. Kajamaa kanajiamini sana bila kujua kuwa kanweza kufichwa kwenye mikono salama... Huyu siyo JK
 
kilichofanyika uchaguzi uliopita moyoni kwangu nlijua KBS laana inakuja na mtajichanganya sn ktk uendeshaji wa hii gavaa yenu.mungu yu upande wa wanyonge daima.
 
Na haya mengine ayajibu. Ni nchi gani yenye democrasia halisi (original):

1. Walio wachache (minor = walioshindwa kwenye general election) ndiyo hutawala na kulazimisha maoni yao ndiyo yatekelezwe na walio wengi?
2. Walio wachache kila kukicha wanakuwa mitaani wakikosoa kila kinachofanywa na walio wengi, wakitukana utawala uliowekwa na walio wengi wakihamasisha wananchi wauasi utawala huo?
3. Kinga ya mbunge ya kuropoka cho chote inakuwapo hata nje ya vikao vya bunge?
4. Katika mijadala ya bunge, wabunge wanaowakilisha wachache wanaondoka bungeni kupeleka mijadala hiyo ikajadiliwe na kuamuliwa mitaani?
5. Walioshindwa kwenye general elections wanakataa matokeo ya uchaguzi huo halali, wanakataa kumtambua raisi na utawala wake? Halafu baadaye wanamu address kama rais wakati hawajafuta kutomtambua kwao?
6. Mtu analazwa lockup anapelekwa mahakamani. Ndani ya mahakama mtu huyo anacheka cheka throughout? Is that normal human behaviour or some sort of mannerism?

Nchi yetu tusiiharibu kwa ku copy & paste democrasia feki za wenzetu ambao matokeo yake yanaonekana kwa kila mwenye akili. Tuangalie nchi zenye demokrasia makini zinavyofanya ambazo matokeo yake ni chanya - kwa mfano China ambako mtu akibwabwaja kama mnavyofanya wanakupoteza haraka.
Maswali ya kiuchwara uchwara,rejesheni mfumo wa chama kimoja kila kitu kiamuliwe na magamba.
 
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?

2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?

My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.

Kwa mstaarabu.
Hayo ni maswali au ni muendelezo wa upuuzi wko mkuu????
 
Mleta uzi nakujibu...nchi ya Marekani ina freedom of speech...unaruhusiwa kumkosia rais anytime kama una watch news rais Obama hutukanwa na kusemwa kila siku na hajawahi kutuma jeshi la polisi eti kukamata watu wanaomkosoa. MAGUFULI AJIFUNZE DEMOKRASIA.
 
1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi?
Katika nchi zote zilizostaarabika nchi huongozwa kwa Katiba...hakuna nchi iliyostaarabika inayoongozwa kwa kauli binafsi za mkuu wa nchi za kukurupuka, huo huitwa udikteta.
2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni(?) huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu?
Katika nchi zote zilizostaarabika, mkuu wa nchi ni mtumishi na huongoza kwa kuzingatia katiba na adhabu yoyote ile hutolewa tu na chombo rasmi cha wananchi, mahakama, haitolewi na Mkuu wa nchi.
My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana.
Katika nchi zilizostaarabika, viongozi ndio wanatakiwa kuwa na hekima, busara na adabu kwa wananchi hata kama hawapendi. Kiongozi asiye na hekima, busara na adabu kwa wananchi wake huitwa dikteta na kama hajakomaa vizuri huitwa dikteta uchwara.
Kwa mstaarabu.
???
 
Back
Top Bottom