Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 32,537
- 47,551
Mjuavyo tena, leo ndio siku ya wapendanao; msiponiona humu kuanzia saa nne na kuendelea, mjue nimeenda kujumuika na upande wangu wa kushoto(Hawa) katika kuburudika katika hii sikukuu ya wapambanaji.
Nyie mtakaobaki humu, sijui mtakuwa bize na nini.
Ila maisha ni haya haya, asiye na mwana aeleke jiwe; walioliwa nauli zao, poleni.
Wanywa soda, juisi, maji machungu huku mziki laini kwa pembeni; kazi kwenu.